Serikali ya Tanzania imejikuta ndani ya mjadala mzito wenye misingi ya uwekezaji katika bandari za nchi hiyo, ambazo ni moja ya rasilimali muhimu za kiuchumi, huku Mamlaka ya usimamizi wa Bandari ...
Machinga wa Dar 3 Novemba 2021 Wafanya biashara wadogo wadogo nchini Tanzania almaarufu machinga Jijini Dar es salaam wameonywa kuhusu kurejea katika maeneo waliyoondolewa kwani kwa kufanya hivyo ...